Jenga  Nasi Tz
Jenga  Nasi Tz
5 (1)
8 Products
Joined 2026-06-16 17:42:10
Recent Updates
  • Misumali ya Bati (Roofing Nails) – Chuma Imara New
    TSh4,000.00
    In stock
    Dar es salaam
    0 Reviews
    Misumali yetu ya bati ni imara na inafaa kwa kufunga mabati ya aina zote. Imetengenezwa kwa chuma kikubwa kinachostahimili kutu na hali ya hewa. Inapatikana kwa ukubwa mbalimbali kulingana na unene wa bati lako.

    Sifa:

    Chuma imara cha ubora wa juu
    Kichwa kikubwa kwa kushikilia vizuri
    Inastahimili kutu (galvanized)
    Inafaa kwa mabati ya geji 28, 30 na 32
    Matumizi:

    Kufunga mabati ya kuezekea
    Kufunga mabati ya uzio
    Kazi za ujenzi wa jumla
    Misumali yetu ya bati ni imara na inafaa kwa kufunga mabati ya aina zote. Imetengenezwa kwa chuma kikubwa kinachostahimili kutu na hali ya hewa. Inapatikana kwa ukubwa mbalimbali kulingana na unene wa bati lako. Sifa: Chuma imara cha ubora wa juu Kichwa kikubwa kwa kushikilia vizuri Inastahimili kutu (galvanized) Inafaa kwa mabati ya geji 28, 30 na 32 Matumizi: Kufunga mabati ya kuezekea Kufunga mabati ya uzio Kazi za ujenzi wa jumla
    0 Talks 0 Shares 204 Views 0 Reviews
  • Nondo za Chuma za Ujenzi – TMT Rebar (16mm – 32mm) New
    TSh18,000.00
    In stock
    Dar es salaam
    0 Reviews
    Nondo zetu za chuma (TMT Rebar) ni za ubora wa juu na zinafaa kwa ujenzi wa majengo, madaraja, misingi ya zege, nguzo na boriti. Zinapatikana kwa ukubwa mkubwa kuanzia 16mm hadi 32mm.

    Sifa:

    Aina: TMT (Thermo-Mechanically Treated)
    Gredi: B500 / FE 550D
    Urefu: Mita 12
    Nguvu ya juu, haivunjiki kirahisi
    Inakidhi viwango vya kimataifa (ASTM A615)
    Matumizi:

    Ujenzi wa majengo ya ghorofa
    Madaraja na barabara
    Misingi ya zege (foundations)
    Nguzo na boriti
    Nondo zetu za chuma (TMT Rebar) ni za ubora wa juu na zinafaa kwa ujenzi wa majengo, madaraja, misingi ya zege, nguzo na boriti. Zinapatikana kwa ukubwa mkubwa kuanzia 16mm hadi 32mm. Sifa: Aina: TMT (Thermo-Mechanically Treated) Gredi: B500 / FE 550D Urefu: Mita 12 Nguvu ya juu, haivunjiki kirahisi Inakidhi viwango vya kimataifa (ASTM A615) Matumizi: Ujenzi wa majengo ya ghorofa Madaraja na barabara Misingi ya zege (foundations) Nguzo na boriti
    0 Talks 0 Shares 208 Views 0 Reviews
  • Karibuni tujenge pamoja....
    Karibuni tujenge pamoja....
    Love
    1
    0 Talks 0 Shares 160 Views 40 0 Reviews
  • Love
    1
    0 Talks 0 Shares 329 Views 0 Reviews
  • Cutting Disc 9" New
    TSh12,500.00
    In stock
    Dar es salaam
    0 Reviews
    Cutting Dic 9" yenye uimara. Inaweza kukata hadi sqm 500 kwenye kuta za tofali za cement. Karibu ofa ya muda mfupi
    Cutting Dic 9" yenye uimara. Inaweza kukata hadi sqm 500 kwenye kuta za tofali za cement. Karibu ofa ya muda mfupi
    0 Talks 0 Shares 474 Views 0 Reviews
  • Cutting Dic 9" yenye uimara. Inaweza kukata hadi sqm 500 kwenye kuta za tofali za cement. Karibu ofa ya muda mfupi
    Cutting Dic 9" yenye uimara. Inaweza kukata hadi sqm 500 kwenye kuta za tofali za cement. Karibu ofa ya muda mfupi
    0 Talks 0 Shares 161 Views 0 Reviews
  • Binding Wire New
    TSh55,000.00
    In stock
    Kariakoo
    0 Reviews
    Karibuni sana bei zimepoa, ni wakati wa kujenga sasa
    Karibuni sana bei zimepoa, ni wakati wa kujenga sasa
    Love
    1
    0 Talks 0 Shares 270 Views 0 Reviews
  • Karibuni wateja wetu, bei zimepoa...
    Karibuni wateja wetu, bei zimepoa...
    0 Talks 0 Shares 92 Views 0 Reviews
  • Zinapatikana kwa bei ya jumla.

    * Rangi zote

    * Grade one imara

    * Unaletewa mpaka site

    * Malipo ukiridhika

    Zinapatikana kwa bei ya jumla. * Rangi zote* Grade one imara* Unaletewa mpaka site* Malipo ukiridhika
    Haha
    Wow
    2
    0 Talks 0 Shares 504 Views 1 Reviews
  • Wateja wetu wa Dar, tunakufikishia site kwako bila gharama za ziada. Wahi tufanye kazi pamoja
    Wateja wetu wa Dar, tunakufikishia site kwako bila gharama za ziada. Wahi tufanye kazi pamoja
    Yay
    1
    0 Talks 0 Shares 451 Views 1 Reviews
More Stories
Soko Salama https://sokosalama.com