Nyumbani Soko Other Nondo za Chuma za Ujenzi – TMT Rebar (16mm – 32mm)
NEW Nondo za Chuma za Ujenzi – TMT Rebar (16mm – 32mm)

Nondo za Chuma za Ujenzi – TMT Rebar (16mm – 32mm)

TSh18,000.00

Jenga  Nasi Tz's Store
Jenga Nasi Tz's Store
Jenga Nasi Tz
Dar es salaam

Muamala Salama Delivery

Listed 2026-10-05 10:06:32
5 views

Description

Nondo zetu za chuma (TMT Rebar) ni za ubora wa juu na zinafaa kwa ujenzi wa majengo, madaraja, misingi ya zege, nguzo na boriti. Zinapatikana kwa ukubwa mkubwa kuanzia 16mm hadi 32mm.

Sifa:

Aina: TMT (Thermo-Mechanically Treated)
Gredi: B500 / FE 550D
Urefu: Mita 12
Nguvu ya juu, haivunjiki kirahisi
Inakidhi viwango vya kimataifa (ASTM A615)
Matumizi:

Ujenzi wa majengo ya ghorofa
Madaraja na barabara
Misingi ya zege (foundations)
Nguzo na boriti

Reviews

No reviews yet. Reviews can only be left by buyers who purchased and received this product.

Safety Tips

Daima lipa kupitia SokoSalama, si nje ya mfumo
Wasiliana na muuzaji kabla ya kununua kama una maswali
Chagua wauzaji waliothibitishwa wenye kiwango cha duka
Ripoti matangazo yanayoonekana ya kutiliwa shaka au mazuri kupita kiasi
Soko Salama https://sokosalama.com